Dodoma kimewaka, CCM wanajambo lao

Dodoma. Kumekucha Dodoma ndivyo unaweza kuelezea jiji hili kwa sasa wakati huu Chama cha Mapinduzi (CCM) kikifanya mkutano mkuu wake. Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za CCM na picha za mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Viongozi wa chama na Serikali, wanachama, makada na mashabiki wa CCM wapo Dodoma kushuhudia pamoja…

Read More

Rais Samia ateua, kuhamisha viongozi, yumo Dk Magembe

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali, akiwemo Dk Grace Magembe ambaye ameteuliwa kuwa Mganga Mkuu wa Serikali. Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo Ijumaa, Januari 17, 2025, na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka na kusainiwa na kusainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Sharifa Nyaga….

Read More

Mwili wa kijana mwenye ualbino wakutwa shambani Morogoro

Morogoro. Mwili wa kijana mwenye ualbino, Rashid Mussa (24), umekutwa katika shamba la mtu asiyejulikana, baada ya kutoweka nyumbani kwake kwa siku tatu. Rashid alitoweka kutoka kijiji cha Kiziwa, Kata ya Kiroka, wilaya ya Morogoro, na mwili wake ulipatikana kwenye shamba hilo, likiwa limetenganishwa na mnazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, Amesema…

Read More

Dhamana ya Dk Slaa ngoma bado nzito

Dar es Salaam. Mawakili wa mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Wilbroad Slaa, anayekabiliwa na kesi ya jinai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wamedai haki ya mteja wao inakandamizwa. Jopo la mawakili wa Dk Slaa linaloundwa na Rais wa Chama cha  Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Peter Madeleka, Hekima Mwasipu, Sisty Aloyce na Sanga Melikiori, lifikia hatua…

Read More

Jaji Mugeta asisitiza haki mahakamani

Arusha. Watumishi wa Mahakama nchini wametakiwa kuongeza imani kwa wananchi kwa kusimamia utaoji haki ulio sawa ili wananchi watumie Mahakama badala ya kujichukulia sheria mkononi. Akizungumza leo Ijumaa, Januari 17, 2025, mkoani Arusha katika mkutano wa baraza la wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Jaji Ilvin Mugeta amesema utendaji katika Mahakama unahusu utoaji haki…

Read More

MUFTI MKUU TANZANIA AWASILI DODOMA KUUFUATA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI

 Wageni waalikwa wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamewasili salama jijini Dodoma tayari kushiriki kikao cha ufunguzi kinachotarajiwa kufanyika kesho, tarehe 18 Januari. Akizungumza mara baada ya kuwasili, mmoja wa wageni hao, Muft Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir, alieleza shukrani zake kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwafanikisha safari yao kutoka Dar es Salaam hadi…

Read More

Coca-Cola Kwanza recognized as a Top Employer

  17 January, 2025 Dar es Salaam – Coca-Cola Beverages Africa (CCBA) in Tanzania is one of only eight companies in Tanzania to be certified as a Top Employers for 2025 based on the results of the Top Employers Institute’s HR Best Practices Survey. CCBA was certified as a Top Employer at the regional Africa…

Read More

Vurugu tena uchaguzi Bawacha, polisi waingilia kati

Dar es Salaam. Wakati mchakato wa kuhesabu kura kuwapata viongozi wapya wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) ukiendelea, baadhi ya wanaodaiwa kuwa makada wa chama hicho wanashikiliwa na polisi kwa madai ya kuanzisha vurugu. Tukio hilo limetokea leo Ijumaa, Januari 17, 2025 wakati kura za wajumbe wa mkutano mkuu, baraza kuu, na viongozi wa…

Read More