
WANA KIJIJI IGENGE WAISHUKURU TASAF KUINUA UCHUMI WAO KUPITIA VIKUNDI
Na Mwandishi Wetu, Mwanza WANUFAIKA wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) katika Kijiji cha Igenge Kata ya Mbarika, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza wameishukuru Serikali kwa kuwainua kiuchumi kupitia mpango wa kunusuru kaya masikini ambao pamoja na kuwapa ruzuku ya zaidi ya milioni 22 lakini pia imetekeleza miradi mbalimbali. Wakizungumza wakati walipotembelewa na…