
Mastaa Simba wana jambo lao Kwa Mkapa
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa Kundi A katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku wachezaji wa timu huo wakitoa msimamo mzito kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuvaana na CS Constantine ya Algeria. Wachezaji hao wamekiri wanajua watalikosa vaibu la mashabiki…