
Kila mtu ni mstaafu mtarajiwa anayepaswa kuyafanyia kazi ya wastaafu
Kila mtu ni mstaafu mtarajiwa anayepaswa kuyafanyia kazi yanayomhusu yeye na wastaafu wenzake anaowaona leo watakaokuwa wenzake kesho, waweze kustaafu salama salimini wakiwa na amani. Yasije yakawa mambo ya kulazimika kusubiri miaka 20 baada ya kustaafu kwake ili kupata nyongeza ya shilingi elfu hamsini kwenye ‘laki si pesa’ yake aliyokuwa akipokea. Siyo agizo wala sheria…