
Meya Kinondoni aipongeza Benki ya DCB kuchangia maendeleo ya Manispaa ya Kinondoni
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Bw. Songoro Mnyonge, ameipongeza Benki ya DCB kwa msaada wa viti 60 na meza moja waliotoa, vitakavyotumika katika ofisi ya watumishi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii katika manispaa hiyo wanaoratibu mchakato wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri kwa vikundi vya vijana, wanawake na wenye ulemavu. Akizungumza,…