
MGEJA AWATAKIA HERI WANA CCM MKUTANO UNAOTARAJIA KUFANYIKA DODOMA
Na Mwandishi Wetu, MWANASIASA mkongwe na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja, amewatakia heri wana-CCM katika mkutano mkuu wa kushika mikoba ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti, Abdulahman Kinana. Akizungumza leo Januari 16, 2025 jijini Dar es Salaam, amesema kuwa shauku kubwa ya wana-CCM ni kumpata Makamu Mwenyekiti atakayemsaidia mwenyekiti wa chama ambaye…