CHEZA SLOTI YA LUCKY BETTING SHOP MAMILIONI YANAKUSUBIRI!

KUCHEZA kasino sio lazima ufike kwenye maduka la kasino yaliyopo mtaani, Meridianbet imerahisisha kazi yako, kupitia kasino ya mtandaoni utapata wasaa wa kucheza michezo ya sloti na kasino kirahisi kabisa. Mchezo wa kasino ya mtandaoni. Lucky Betting Shop ni mashine ya sloti inayofurahisha na kukupa zawadi kedekede kwenye michezo. Kumbuka, sio ubashiri wa kasino ya…

Read More

SERIKALI YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA IMF

Na. Saidina Msangi na Asia Singano, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa itaendelea kushirikiana na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), na kuhakikisha Fedha zote za maendeleo zinazotolewa na Shirika hilo zinatumika kukamilisha azma ya kukuza uchumi wa nchi. Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), jijini Dodoma wakati akimuaga Kiongozi…

Read More

Arajiga, wengine watatu wapewa Berkane

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limemteua mwamuzi Ahmed Arajiga na wenzake watatu kuchezesha mechi ya Kundi B Kombe la Shirikisho Afrika kati ya RS Berkane ya Morocco na Stellenbosch ya Afrika Kusini itakayopigwa Jumapili ya Januari 19. Timu zote mbili tayari zimefuzu hatua ya robo fainali, Berkane ikiwa kinara wa kundi hilo baada ya kukusanya…

Read More

JAMII YATAKIWA KUPIMA AFYA MAPEMA KUCHUKUA TAHADHARI ONGEZEKO LA MARADHI YA SARATANI NCHINI

Na Khadija Khamis, WHVUM Msaidizi Meneja Kitengo cha Maradhi yasioambukiza (NCDs UNIT) kutoka Wizara ya Afya Zanzibar, Zuhura Saleh Amour amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari kutokana na ongezeko la maradhi ya saratani Nchini. Ameyasema hayo wakati wa Mafunzo kwa Maafisa Mipango wa Wizara mbali mbali za Serikali, yaliofanyika hivi karibuni katika kituo cha Afya ya uzazi…

Read More

Kocha Amrouche yu wapi? | Mwanaspoti

ADHABU ya mechi nane alizoadhibiwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, Adel Amrouche kwa kosa la kutoa shtuma nzito dhidi Shirikisho la Soka la Morocco (RMFF) ni kama imeisha, lakini kumekuwa na ukimya juu ya hatma ya kocha huyo ndani ya kikosi hicho cha timu ya Tanzania. Kocha huyo raia wa Algeria aliadhibiwa…

Read More