
CMSA YATOA MWITO KWA BENKI KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KATIKA MASOKO YA MITAJI
-Yatoa pongezi kuorodheshwa kwa hisa stahiki za Benki ya DCB katika Soko la Hisa Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imetoa mwito kwa benki za biashara,benki za wananchi na benki za maendeleo kutumia fursa zilizopo katika masoko ya mitaji kama ambavyo Benki ya DCB imetumia fursa hiyo…