
Mmoja mbaroni, moto ukiteketeza nyumba 10,000
Marekani. Idara ya Polisi ya Los Angeles (LAPD) imesema inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha moto mkali uliochoma nyumba zaidi ya 10,000 na kuua watu 10 nchini humo. Moto huo ulioanza usiku wa kuamkia Januari 9, 2025 umeteketeza nyumba za kifahari za mbele ya bahari. Ofisa mkuu wa LAPD, Charles Dinsel ameuambia mtandao wa NewsNation jana…