Rais Samia ahutubia Mabalozi pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu Jijini Dar

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2025.      Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic…

Read More

Madereva walia na maegesho ya magari Kendwa

Unguja. Madereva wa magari ya utalii Kijiji cha Kendwa, Mkoa wa Kaskazini Unguja wameiomba Serikali kuwapatia eneo la maegesho ya magari ili kuondokana na usumbufu unajitokeza. Wamezungumza hayo katika kikao cha Katibu Tawala Wilaya ya Kaskazini A, Unguja, leo Januari 14, 2025, kilichowakutanisha madereva hao kuzungumzia changamoto mbalimbali. Dereva Abdulla Abdi Ahmada amesema awali walikuwa…

Read More

Simulizi ajali iliyoua 11 wakiokoa majeruhi

Dar/Tanga. Ni siku zisizozidi 20 zikichukua maisha ya watu 30 kutokana na ajali za barabarani zilizotokea kati ya Desemba 24, 2024 na Januari 13, 2025, wilayani Handeni Mkoa wa Tanga. Ajali tatu zilizotokea wilayani humo pia zimesababisha majeruhi zaidi ya 35. Katika tukio la hivi karibuni, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amesema…

Read More

Wajasiriamali waeleza walivyonufaika na Tasaf

Unguja. Wajasiriamali waliopo kwenye mpango wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wameeleza namna ulivyowaondoa kwenye umaskini. Mpango wa kunusu kaya maskini kwa Zanzibar ulianza mwaka 2013 ukiwa katika afua tatu za ruzuku, ajira za muda na miundombinu. Mpaka sasa kuna vikundi 3,372 vyenye wanachama 45,948. Vikundi hivyo vimekusanya akiba ya zaidi ya Sh1.6 bilioni…

Read More

Kenya: Kimbilio salama kwa wageni au hatari?

Nairobi.  Kenya, imekuwa kimbilio kwa usalama wa wakimbizi na watu wanaohitaji hifadhi kutoka nchi zao, hasa wale wanaokimbia udhalimu wa kisiasa. Hata hivyo, hali imeanza kubadilika kwa kasi na kuibua maswali mengi kuhusu usalama wa wageni nchini Kenya. Katika miaka minne iliyopita, imekuwa ikishuhudiwa utekaji na mauaji ya raia wa kigeni nchini Kenya, jambo linaloathiri…

Read More

Samia akutana na mabalozi, azungumzia mafanikio 2024

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, amesema mwaka 2025 Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano na uhusiano wa kimataifa, ikiwa ni pamoja na kutengeneza mazingira yatakayohamasisha biashara na uwekezaji. Amesema hayo leo Januari 14, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kusherehekea Mwaka Mpya iliyowakutanisha mabalozi wa mataifa mbalimbali waliopo nchini. Akitoa tathmini…

Read More

Beki Dodoma Jiji aingia chimbo kujifua

BEKI wa Dodoma Jiji FC, Anderson Solomon ameweka wazi anajipanga vyema kuhakisha anapambania namba katika kikosi hicho pindi Ligi Kuu Bara itakapoendelea Machi Mosi mwaka huu. Nyota huyo ambaye amekuwa na kikosi hicho tangu msimu uliopita, mambo yamekuwa magumu kwake baada ya kukutana na upinzani mzito kutoka kwa Dickson Mhilu katika nafasi anayocheza ya beki…

Read More