
SERIKALI YAWAREJESHA WANAFUNZI WALIOKATISHA MASOMO KUPITIA MRADI WA SEQUIP
Na Farida Mangube, Morogoro Jumla ya wasichana 10,239 waliokuwa wamekatisha masomo wamenufaika na Mradi wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP), unaotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), kwa kushirikiana na Benki…