
Uchaguzi Chadema panachimbika | Mwananchi
Dar es Salaam. Patachimbika ndilo neno linaloakisi uhalisia wa joto linaloendelea kufukuta katika uchaguzi wa viongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kati ya miamba miwili Freeman Mbowe na Tundu Lissu wanaowania uenyekiti wa chama hicho. Nguvu zao kisiasa ndani na nje ya Chadema zimeendelea kujidhihirisha katika uchaguzi wa mabaraza ya vijana (Bavicha)…