Mnyika atoa onyo Chadema, 300 wajitosa uongozi

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema iwapo kuna kiongozi, mwanachama au mgombea anatuhumiwa kukiuka miongozo ya uchaguzi, taarifa ya malalamiko yawasilishwe rasmi kwa mamlaka ili kudhibiti changamoto hiyo. Mnyika amesema hayo leo Jumanne, Januari 7, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya Chadema,…

Read More

Kilimanjaro vs Kenya mechi ya kujiuliza

BAADA ya jana Jumatatu michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 kuendelea kwa mzunguko mwingine baada ya Januari 3 na 4 kupigwa mechi mbili, leo ni zamu ya Kilimanjaro Stars dhidi ya Kenya kujiuliza. Mchezo huo unatarajiwa kuanza kuchezwa saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Gombani uliopo Kisiwani Pemba ukizikutanisha timu ambazo kila moja inahitaji ushindi…

Read More

Nabi atuma ujumbe mzito Yanga, amtaja Ramovic

MASHABIKI wa Yanga wameanza kuchekelea wakisahau siku ngumu walizopitia kabla na baada ya kuondoka kwa kocha wao Miguel Gamondi kisha nafasi yake kuchukuliwa na Sead Ramovic ambaye naye alikuwa kama hawamuelewi vile akianza vibaya. Sasa baada ya mambo kukaa sawa, aliyekuwa kocha wa kikosi hicho, Nasredine Nabi ambaye bado anapigana vita ngumu akiwa na timu…

Read More

MADAKTARI 120 WA WANYAMA WAFUTIWA USAJILI

  Usajili wa madaktari wa wanyama 120 umefutwa na Baraza la Veterinari Tanzania na majina yao yameondolewa kwenye rejesta ya madaktari hao kutokana na kutotimiza matakwa ya kisheria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hivi karibuni, na Ofisi ya Msajili wa baraza hilo madaktari hao wamefutwa katika kikao kilichofanyika Tarehe 23 Mwezi Desemba 2024, kufuatia baraza…

Read More

Vita nzito kikapu la Daraja la Kwanza Dar

ILE Ligi ya Kikapu Daraja la Kwanza Mkoa wa Dar es Salaam imeendelea kushika kasi katika Uwanja wa Bandari, Kurasini, ambapo timu mbalimbali zinaendelea kuonyeshana ubabe zikiwania kupanda daraja. Katika michezo hiyo, Stein Warriors iliendelea kuonyesha makali baada ya kuifunga Mbezi Beach kwa pointi 61-45. Mchezo huo ulioshuhudiwa na watazamaji wengi katika Uwanja wa Bandari…

Read More

Mlimba kutoa mikopo ya asilimia 10 ya Bil.2.2

Halmashauri ya Mlimba Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro imetenga zaidi ya shilingi bilioni 2.2 kwa ajili ya mikopo ya asilimia Kumi ya vijana,wanawake na walemavu . Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya halmashauri ya Mlimba Jamari Idrisa amesema mikopo hiyo inatarajiwa kuinua uchumi wa wananchi wa eneo hilo . Amesema kwa awamu ya kwanza wametoa mikopo…

Read More

Zaidi ya vijana elfu kumi kukutanishwa Morogoro kujadili masuala ya uchumi,Siasa,afya

Wakati Serikali iliendelea na maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa Madiwani,wabunge na Rais unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu 2025 vijana wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kushiriki masuala muhimu ya nchi ili kuleta maendeleo. Wito huo umetolewa na Godlisten Mramba ambaye ni mwimbaji nyimbo za injili wakati akizungumza na wahadishi wa habari Mjini Morogoro ambapo…

Read More

Je! Uchapishaji Upya wa Sarafu ya Bangladesh Unafutwa kwenye Urithi wa Bangabandhu? – Masuala ya Ulimwenguni

Uso wa baba mwanzilishi wa Bangladesh, Bangabandhu Sheikh Mujibur Rahman, hivi karibuni utafutwa katika sarafu ya nchi hiyo. Credit: Kumkum Chadha/IPS by Kumkum Chadha (delhi) Jumanne, Januari 07, 2025 Inter Press Service DELHI, Jan 07 (IPS) – Historia inaonekana kuifukuzia Bangladesh hata wakati seŕikali ya mpito inapambana na masuala ya kweli ya kusimamia nchi iliyotupwa…

Read More

Gambo ajibu mapigo, madai ya Makonda

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge na ana vikao vya Bunge. “Mimi sio ofisa tarafa, siyo mtendaji wa mtaa wala kata, mimi ni mbunge wa…

Read More