
Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa, wananchi waombwa kulinda kundi Jipya la watumiaji wa Barabara.
Na. Mwandishi Jeshi la Polisi Arusha. Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kimesema kuwa baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi wa magari ya shule(School Bus) kwa kipindi cha likizo ambacho kilitangazwa ili kuondoa usumbufu kwa wanafunzi wanaotumia vyombo hivyo kimeanza kuwakamata wale wote walio kaidi agizo hilo huku kikosi hicho kikiwaomba wananchi kuweka uangalizi…