
Walichokisema Mbowe, Lwaitama ukomo wa madaraka Chadema
Dar es Salaam. Mjadala ulioibuliwa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kuhusu ukomo wa madaraka umezidi kupamba moto ndani na nje ya chama hicho, kila upande ukizungumzia suala hilo kwa namna tofauti. Suala hilo mara hii limemwibua Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema na mshindani mkuu wa Lissu kwenye kinyang’anyiro cha uenyekiti wa chama…