
Shule iliyopata ‘F’ matokeo darasa la nne yawekwa chini ya uangalizi
Mlimba. Halmashauri ya Mlimba imeiweka katika uangalizi maalumu Shule ya Msingi Lugala iliyopo Kata ya Uchindile, Tarafa ya Mlimba wilayani Kilombero baada ya kufanya vibaya katika matokeo ya kitaifa ya darasa la nne kwa mwaka 2024. Katika matokeo hayo yaliyotangazwa Januari 5, 2025, shule hiyo imepata wastani wa daraja F huku matokeo yakionesha hakuna mwanafunzi…