KUWA MILIONEA NA MERIDIANBET SIKU YA LEO

IJUMAA ya leo imekuja kivingine ndani ya Meridianbet kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana hapa. Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea leo. Ingia www. meridianbet.co.tz na ubeti hapa. Tukianza na ligi kuu ya Ujerumani BUNDESLIGA leo hii kutakuwa na mtanange mzito haswa kati ya Borussia Dortmund vs Bayer Leverkusen ambapo mechi za msimu uliopita…

Read More

Samia ateua majaji wanne Mahakama ya Rufani

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa majaji wa Mahakama ya Rufani wanne. Pia ameteua wenyeviti wa bodi na kumpangia kituo cha kazi balozi mmoja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Januari 10, 2025 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka walioteuliwa Latifa Alhinai Mansoor anayekuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani….

Read More

BALOZI WA JAPANI AMALIZA MUDA WAKE WA UWAKILISHI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amemuaga Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yasushi Misawa anayetarajia kumaliza muda wake wa uwakilishi Januari 17, 2025. Mhe. Kombo ameishukuru Japan kwa kuwa miongoni mwa wadau wanaosaidia kufanikisha Miradi ya Maendeleo hapa nchini katika sekta mbalimbali ikiwemo miundombinu, biashara, afya,…

Read More

WAZIRI KOMBO AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Balozi wa Algeria nchini Mhe. Ahmed Djellal aliyefika katika ofisi za Wizara Dar es Salaam kutoa shukrani na kuaga akiwa anaelekea ukingoni mwa kuhudumia nchini Tanzania. Kwa pamoja viongozi hao wawili wamekumbushana kuhusu historia nzuri ya uwili kati ya…

Read More