
Kifungo cha usajili chaiamsha Mtibwa
BAADA ya FIFA kuifungia Mtibwa Sugar kusajili kutokana na kutomlipa kipa Justin Ndikumana aliyekuwa akiidakia timu hiyo. msemaji wa klabu hiyo Thobias Kifaru, amesema watakaa na mwanasheria wajue wanafanya kitu gani. Kifaru alikiri kuwapo kwa adhabu hiyo, lakini hadi wakae na mwanasheria ndipo watajua kipi watakizungumza na vyombo vya habari. “Nikiri tumeona adhabu hiyo, ila…