
RAIS SAMIA AKUTANA NA WAKUU WA MISHENI ZA UANGALIZI WA CHAGUZI ZA SADC (SEOM)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM) Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mohammed Chande Othman na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo,…