
WANAHARAKATI WASEMA SHERIA MPYA YA ZAECA IWE MKOMBOZI WANAWAKE KUINGIA KWENYE UONGOZI
TUKIWA tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 Jitihada mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa ambazo zinalenga wanawake kupata uongozi kwa kuzingatia usawa wa kijinsi na kuhakikisha 50 kwa 50 inafikiwa kwenye nafasi hizo. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka wazi haki za wanawake za kushiriki katika uongozi, ibara ya 21 inasisitiza kuwa kila raia wa Jamhuri ya…