
Kocha Singida Black Stars ataka ushindi, burudani
MMESIKIA huko? Kocha mpya wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud mwenye uraia pacha wa Algeria na Ufaransa, ambaye amerithi mikoba ya Patrick Aussems, ameeleza kuwa na mpango wa kuifanya timu hiyo kuwa tishio Ligi Kuu Bara kulingana na ubora wa wachezaji alionao. Kocha huyo mwenye leseni ya UEFA A, anasisitiza kuwa lengo lake ni kuleta…