
Kibarua kocha mpya Singida BS kipo hapa
KOCHA mpya wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud amekiri kibarua alichonacho baada ya kukabidhiwa mikoba ya kuinoa timu hiyo sio rahisi, licha ya kufurahia kukutana na wachezaji wenye ubora na uwezo mkubwa ambao anaendelea kuwasoma kabla ya kuanza mambo katika Ligi Kuu baadae Machi, mwaka huu. Licha ya kuwa na uzoefu na mafanikio katika soka…