DKT. NCHEMBA AFUNGUA KIKAO KAZI TRA JIJINI ARUSHA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (kushoto), Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Makonda, wakiteta jambo baada ya mawaziri hao kumtembelea Ofisini kwake jijini Arusha, wakati walipofanya ziara ya kikazi mkoani humo, ambapo pia walipata fursa ya kushiriki mkutano maalum wa Kamati…

Read More

Kagera Sugar yamfuata Nkane | Mwanaspoti

UONGOZI wa Kagera Sugar upo katika mazungumzo ya kupata saini ya nyota wa Yanga, Denis Nkane kwa mkopo wa miezi sita ukiwa na imani anaweza kukisaidia kikosi cha timu hiyo. Taarifa kutoka Kagera Sugar zimelidokeza Mwanaspoti kuwa tayari wameshaiandikia barua Yanga kumuomba mchezaji huyo ambaye chini ya kocha Sead Ramovic hajapata nafasi ya kucheza mechi…

Read More

Ongezeko la uwekezaji sekta ya utalii lakuza uchumi Z’bar

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema kuna ongezeko kubwa la wawekezaji katika sekta ya utalii, hatua inayochangia kukuza uchumi na kuleta maendeleo nchini. Amesema ongezeko hilo hasa katika uwekezaji wa hoteli, linachangia kuvutia idadi kubwa ya watalii wanaotembelea Zanzibar, hivyo kukuza sekta ya utalii. Dk Mwinyi amesema hayo leo Jumatatu Januari 6,…

Read More

RAIS MWINYI:ONGEZEKO LA WAWEKEZAJI NI UKUAJI WA UCHUMI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa kuna ongezeko kubwa la Wawekezaji katika Sekta ya Utalii hatua inayochangia ukuaji wa Uchumi na Maendeleo ya nchi. Amebainisha kuwa Ongezeko hilo la Wawekezaji pia linachangia Ongezeko la Watalii wanaotembelea nchini hali inayoiimarisha sekta ya Utalii. Rais Dk. Mwinyi ameyasema…

Read More

Rooney wa Kenya kutua Singida Black Stars

WAKATI Singida Black Stars ikirejea mazoezini chini ya kocha mpya, Miloud Hamdi mwenye uraia wa Ufaransa na Algeria, mabosi wa timu hiyo wako katika hatua za mwisho za kumnasa beki wa kulia wa Gor Mahia ya Kenya, Rooney Onyango. Nyota huyo aliyejiunga na GorMahia 2022 akitokea Wazito FC anatarajia kujiunga na Singida Black Stars katika…

Read More

Sababu ACT kuiburuza Tamisemi mahakamani

Dar es Salaam. Malalamiko dhidi ya uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024 hatimaye yamefikia hatua ya mahakamani, baada ya Chama cha ACT Wazalendo kufungua mashauri 51 kupinga matokeo na mwenendo wake. Hatua hiyo ya ACT Wazalendo inakoleza moto wa malalamiko dhidi ya uchaguzi huo, yaliyoibuliwa na vyama vya upinzani…

Read More

KenGold yachafua hali ya hewa!

KWA wanachoendelea kufanya KenGold kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo ni kama ‘kuchafua hali ya hewa’. Hiyo inatokana na majembe inayoyashusha baada ya kutembeza fagio la nyota wanane ilioanza nao msimu huu ambao ni wa kwanza kushiriki Ligi Kuu. Hadi sasa timu hiyo imetangaza kuachana na Poul Materraz, Asanga Stalon, James Msuva, Steven Mganga,…

Read More

Kiingereza pasua kichwa kidato cha pili

Dar es Salaam. Kiingereza ambayo ndiyo lugha ya kujifunzia kwa wanafunzi wa sekondari imeendelea kuwa mwiba, baada ya robo ya wanafunzi waliofanya mtihani wa majaribio wa kidato cha pili mwaka 2024 kupata alama F. Jambo hilo linatajwa kuwa moja ya sababu ya wanafunzi wengi kupata F katika masomo mengine kutokana na kushindwa kuelewa lugha inayotumika…

Read More

Singida Black Stars yakimbilia Arusha

KIKOSI cha Singida Black Stars kimerejea mazoezini na leo kinatarajia kwenda Arusha kwa ajili ya kuweka kambi ya mwezi mmoja kujiweka fiti na michuano iliyopo mbele ikiwemo Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuendelea Machi Mosi, mwaka huu. Wakati huohuo mshambuliaji Jonathan Sowah aliyesajiliwa na timu hiyo dirisha dogo msimu huu, anatarajiwa kuungana nayo kwa ajili ya…

Read More