
KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI; UMEME NI MUHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati jadidifu Dkt. Khatibu M. Kazungu, amesema kuwa umeme ni muhimu kwa uchumi, uhai, na maendeleo ya kisiasa na kijamii hivyo ni jukumu la Wizara kuhakikisha wananchi wanapata nishati ya uhakika. Ametoa kauli hiyo Januari 4 2025, alipotembelea kituo cha kuzalisha umeme cha Kidatu Mkoani morogoro,…