
Kipindupindu, ukosefu wa vyoo vyafunga mgodi wa dhahabu
Katavi. Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf ameagiza kufungwa kwa shughuli za uchimbaji madini ya dhahabu katika migodi ya Lumuka iliyopo Kijiji cha Dirifu kutokana na watu 17 kugundulika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa kupindupindu. Hali hiyo imekuja baada ya kutembelea maeneo ya migodi leo Jumatatu, Januari 6, 2025 na kukuta watu wanaofanya shughuli kwenye…