
Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma
Dodoma. Mrithi wa Abdulrahman Kinana ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya Makamu Mwenyeiti-Bara atajulikana kati ya Januari 18-19, 2025 kwenye mkutano mkuu maalumu utakaofanyika jijini Dodoma. Nafasi hiyo ya Makamu Mwenyekiti imekuwa wazi tangu Julai 28, 2024 baada ya Kinana kuandika barua ya kuomba kujiuzulu wadhifa huo kwenda kwa Mwenyekiti wake, Rais Samia…