
Anayedaiwa kuchoma moto nyumba na watu wanne kuteketea Handeni akamatwa
Tanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limemkamata Mwita Chacha akiwa jijini Mwanza kwa tuhuma za kuchoma nyumba moto katika Kijiji cha Manga, Wilaya ya Handeni Desemba 30, 2024 na kusababisha mauaji. Waliofariki dunia katika tukio hilo ni Pili Saguge (28) mkazi wa Kwedichocho na watoto wake Chacha Nyabilenga, Jane Nyabilenga na Makabala Nyabilenga. Akizungumza na…