
Othman: Serikali inalenga kutanua fursa za elimu Zanzibar
Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amesema uimarishaji wa miundombinu ya shule ni ishara kuwa, Serikali inalenga kutanua fursa ya elimu na kuhakikisha hakuna kijana anayekosa haki ya kupata elimu. Othman amesema hayo leo Jumapili, Januari 5, 2025 Maungani Wilaya ya Magharibi B Unguja baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule…