
Vijana wanne kati ya 29 ‘waliotekwa’ Kenya wapatikana
Nairobi. Tovuti ya Daily Nation imeripoti kuwa vijana wanne kati ya 29 walioripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana nchini Kenya, wamepatikana wakiwa hai huku familia zao zikithibitisha. Vijana hao wanaotajwa kuwa wakosoaji wa Serikali ya awamu ya tano ya nchi hiyo, walianza kutoweka mwishoni mwa mwaka 2024, jambo lililosababisha baadhi ya Wakenya kuandaa maandamano kuitaka Serikali…