
Udhaifu katika ndoa ni sehemu ya ndoa
Kanada. Kwanza, kila binadamu ana ubora na udhaifu, hata awe mzuri au mbaya kiasi gani. Hivyo, wanandoa wanaposhughulikia ubora au udhaifu wao, wanapaswa kukumbuka kuwa wote ni binadamu wenye mapungufu. Unaweza kuwa msomi mkubwa tu, tajiri, mwelewa si kawaida, mkarimu hata katili vipi, bado una ubora na udhaifu wako. Hivyo, tukubali na tujue haya yanatuhusu…