Kumbukumbu ya Siri zaidi ya Wanaume na Hukumu ya Aibu ya Waandishi Wawili Waafrika – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na Jan Lundius (Stockholm, sweden) Jumatatu, Januari 06, 2025 Inter Press Service STOCKHOLM, Uswidi, Jan 06 (IPS) – Mwaka 2021, mwandishi wa riwaya wa Senegal Mohamed Mbougar Sarr alikua mwandishi wa kwanza kutoka Afŕika Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa kutunukiwa Tuzo ya Prix Goncourt, tuzo kongwe zaidi ya Ufaŕansa na yenye hadhi ya fasihi….

Read More

Fadlu ategua mtego wa kwanza Simba

Kocha wa Simba, Fadlu Davids amefanikiwa kuruka kihunzi cha kwanza kati ya viwili ambavyo viliwashinda makocha wenzake katika misimu mitatu iliyopita ambayo Yanga ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu. Kigingi ambacho Fadlu amekimudu ni kuiwezesha timu hiyo kumaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni na ikiwa imekusanya idadi kubwa ya pointi katika mechi 15 kulinganisha na msimu…

Read More

Pazia la kuchukua fomu za ugombea lahitimishwa Chadema – DW – 06.01.2025

Uchaguzi nkuu wa Chadema utafanyika Januari 21. Kama kuchanga karata za kisiasa hakuna ajuaye moja kwa moja kwamba mwenyekiti anayetetea nafasi yake, Freeman Mbowe au mpinzani wake katika nafasi hiyo, Tundu Lissu amefanikiwa. Hata hivyo, mazingira ya kisiasa ndani ya chama chenyewe yanaonyesha kuna upande mmoja umecheza mchezo wenye kuashiria mengi. Mwanasisasa Jonh Heche na hatua…

Read More

Waziri wa Mipango na Uwekezaji aipongeza Mati Super Brands Ltd kwa ulipaji kodi ya serikali

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amewapongeza wawekezaji wazawa wa Kiwanda cha Mati Super Brands Limited kwa kulipa kodi stahiki za serikali na kutengeneza ajira kwa vijana hali inayochochea maendeleo ya Mkoa wa Manyara na taifa kwa ujumla. Akizungumza baada ya kutembelea kiwanda hicho leo, Profesa mkumbo alisema wawekezaji…

Read More

Watu milioni 1.2 kuunganishiwa umeme kila mwaka ifikapo 2030

Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwaunganishia umeme watu milioni 1.2 kila mwaka kutoka 500,000 wanaounganishiwa sasa. Kutokana na hilo, katika miaka mitano 2025/30, watu milioni 8.5 wataunganishiwa huduma hiyo nchini. Ongezeko hilo la watakaounganishiwa umeme, litatokana na kuanza kwa utekelezaji wa Agenda300 inayolenga kufikisha nishati hiyo kwa watu milioni 300 Afrika ifikapo mwaka 2030. Benki…

Read More

SHAGEMBE: Mchimba madini aliyemzima kiboko ya Kiduku

FRANK Shagembe  siyo jina kubwa ukitaja majina makubwa katika mchezo wa ngumi za kulipwa nchini lakini kwa sasa heshima yake imekuwa ikisumbua vichwa vya mabondia wakubwa. Shagembe kijana wa miaka 24 ambaye ametoka kwenye maisha magumu akiwa mzururaji wa uchimbaji wa madini ya dhababu kule Chunya mkoani Mbeya ndiye aliyeweza kumzima Asemahle Wellem ‘Predator’ kijana…

Read More