
Simba yaandika historia ya kibabe Tunisia
SIMBA imefanya unyama mwingi sana baada ya usiku wa leo kupata ushindi wa kwanza wa kihistoria katika ardhi ya Waarabu kwa kuichapa CS Sfaxien ya Tunisia kwa bao 1-0. Bao hilo pekee la dakika ya 34 lililowekwa kimiani na Jean Charles Ahoua, liliiwezesha pia Simba kupata ushindi wa kwanza ugenini katika michuano ya Kombe la…