
Russia yaidungua ndege ya Ukraine, Blinken aikatia tamaa
Moscow. Vikosi vya Russia vimedungua ndege ya kivita ya Ukraine aina ya MiG-29, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumapili Januari 5, 2025 na Wizara ya Ulinzi ya Russia. Wizara hiyo imesema vikosi vya Ukraine, pia, vimepoteza makombora kadhaa yaliyotengenezwa katika mataifa ya magharibi ikiwemo gari ya kivita aina ya Bradley. “Mashambulizi 17 yaliyorushwa na…