
Heche kumuunga mkono Lissu, ampongeza Mbowe kukikuza chama
Mwanza. Uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) unazidi kupamba moto baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, John Heche kuchukua na kurejesha fomu kuwania nafasi ya umakamu mwenyekiti – bara. Heche aliyewahi kuwa mbunge wa Tarime Vijijini amesisitiza kuwa anayeweza kusimamia malengo ya kuanzishwa chama hicho kwa sasa ni…