
Gusa Achia yafufua tumaini la Yanga kwenda robo fainali CAF
KIKOSI cha Yanga kikiupiga mpira mwingi kwa mtindo wao wa ‘Gusa Achia Twenda Kwao’kimefufua tumaini la kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa pili mfululizo, baada ya kuinyoosha TP Mazembe kwa mabao 3-1 jioni ya leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Ushindi huo uliochagizwa na mabao mawili…