
Stendi ya mabasi Kijichi kubadilishwa matumizi
Dar es Salaam. Stendi ya Kijichi iliyojengwa kwa ajili ya mabasi yaendayo mikoa ya Kusini sasa inatarajiwa kubadilishwa matumizi, baada ya malengo ya ujenzi kutotekelezeka. Mradi huo uliogharimu Sh3.9 bilioni kupitia Miradi ya Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam (DMDP) ukijumuisha soko, maduka makubwa na stendi, umekimbiwa na wafanyabiashara. Mradi huo ulianza kazi Oktoba 17,…