
Mashambulizi na diplomasia – DW – 03.01.2025
Katika mkoa wa Kyiv, vipande vya mabaki ya droni vilimuua dereva wa lori na kuwajeruhi watu wanne, wakiwemo kijana wa miaka 16. Nyumba za makazi na majengo ya biashara ziliharibiwa katika mikoa kadhaa, ingawa hakuna majeruhi walioripotiwa Kyiv. Jeshi la Ukraine limeripoti kushambulia kituo cha kamandi ya jeshi la Urusi huko Maryino, mkoa wa Kursk,…