Zaidi ya Wasyria 115,000 wamerejea nyumbani tangu kumalizika kwa udikteta wa Assad – Masuala ya Ulimwenguni

The habari inatokana na taarifa za umma za nchi mwenyeji, mawasiliano na huduma za uhamiaji kutoka ndani ya Syria, na ufuatiliaji wa mpaka unaofanywa na wakala na washirika. UNHCR Alisema Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki aliripoti kwamba Wasyria 35,113 wamerejea nyumbani kwa hiari. Mabadiliko ya idadi ya watu waliorejea Jordan Kwa upande wake,…

Read More

Mpanzu sasa uhakika, Mutale akiachwa Dar

KIKOSI cha Simba tayari kipo jijini Tunis, Tunisia kikijichimbia katika hoteli moja ya kishua iitwayo Royal Asbu, huku benchi la ufundi pamoja na wanachama na mashabiki wa klabu hiyo wakipa mzuka zidi baada ya Shirikisho la Soka Afrika kuwalainisha mambo kabla ya kuvaana na CS Sfaxien Jumapili ya wiki hii. Simba iliyoondoka juzi usiku kwenda…

Read More

Ramovic: Hao Mazembe hawachomoki | Mwanaspoti

YANGA itaingia rasmi kambini Avic Town kesho Ijumaa kufanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuikaribisha TP Mazembe katika pambano la raundi ya nne ya Ligi ya Mabingwa kwa Kundi A, huku benchi la ufundi na vigogo wa klabu hiyo wakiweka mkakati kabambe ili kurejesha heshima anga za kimataifa. Kwa sasa Yanga ndio inayoburuza mkia katika…

Read More

Ishara hizi katika kucha hutabiri hali ya afya yako

Dar es Salaam. Licha ya kucha kuwa urembo asili unaoongeza uzuri kwenye miguu na vidole vya mikono kwa binadamu na wanyama, wataalamu wa afya wanataja kuwa zina taarifa muhimu kuhusu hali ya afya ya binadamu. Ni muhimu kuzingatia mabadiliko ya rangi kwenye kucha zako, na vipengele vingine vinavyotumika kama tahadhari kwa magonjwa mengi. Mabadiliko kwenye…

Read More

Chanzo harufu mbaya puani | Mwananchi

Dar es Salaam. Umewahi kukutana na mtu, kila akipumua anatoa harufu kali usiyoweza kuivumilia? Wengi huhisi ni jasho la mwili na wachache wakidhani ni harufu ya kinywa. Hii ni harufu itokayo puani. Huenda ikawa si ugonjwa, ila ni matatizo ya mfumo wa upumuaji yanayofahamika kama halitosis au bad breath, tatizo hili husababishwa na mambo ya…

Read More

Maafisa Korea Kusini wajaribu kumkamata Rais Yoon

  MAOFISA wa usalama nchini Korea Kusini, wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol. Anaripoti Sylvia Mwehonzi wa DW…(endelea). Maofisa hao wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol, wakati wafuasi wake wakiendelea kupiga kambi nje…

Read More