
TRA KUSHIRIKIANA NA BAKWATA KUTOA ELIMU YA KODI
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kushirikiana na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutoa Elimu ya Kodi ili kuhamasisha Wananchi kulipa kodi kwa hiari. Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea na kufanya mazungumzo na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr. Sheikh Abubakar Ali…