
Changamoto za kisiasa zinazoisubiri Ujerumani mwaka 2025 – DW – 02.01.2025
Kudhibiti uhamiaji, kuzuia mashambulizi ya kimtandao, kulinda utawala wa sheria na taasisi za demokrasia ni mambo makuu matatu ambayo yumkini yatachukua muda mwingi katika siasa za Ujerumani mwaka 2025. Mamlaka zitakabiliwa na kizungumkuti katika kupambana na uhamiaji holela, wakati huo huo zikiendesha sera ya kuwavutia wafanyakazi wa kigeni wenye ujuzi. Changamoto nyingine itakuwa katika kuimarisha…