
AKILI ZA KIJIWENI: Sio ajabu Morrison kusajiliwa KenGold
UKIHISI usajili uliofanywa na KenGold kumnasa winga wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison kuwa ni jambo la kushangaza basi wewe amua tu kuachana na soka la Bongo. Hakuna aliyeshangaa hapa maskani kwa vile maisha ya Tanzania ni matamu na watu wengi wakija hapa kutoka katika nchi zao hasa za Kiafrika huwa wanatamani kubaki…