
Ahadi ya Serikali ya umeme wa gridi yatekelezwa Kagera
Kagera. Ahadi ya Serikali ya kufikisha umeme wa gridi ya Taifa katika wilaya zote za Mkoa wa Kagera imetekelezwa baada ya kusaini mikataba ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Benako, Ngara hadi Kyaka wilayani Misenyi. Utekelezaji wa mradi huo unaenda sambamba na ujenzi wa kituo cha kupoza umeme…