
Chukwu: Ubora umenirudisha Singida | Mwanaspoti
KIUNGO wa zamani wa Rivers United ya Nigeria, Morice Chukwu anayeichezea Singida Black Stars, amesema kuwa kurejea katika kikosi hicho kunadhihirisha ubora alionao. Chukwu ambye alitua Bongo msimu uliopita na kuanza kuichezea Singida huku akiwa na mkataba wa miaka miwili, alitolewa kwa mkopo kwenda Ihefu (sasa Singida Black Stars) kisha msimu huu akapelekwa tena Tabora…