Pazi yaonyesha ukubwa wake BDL
Timu kongwe ya Pazi ilidhihirisha ubora wake katika Ligi ya Kikapu mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ni baada ya kuifunga timu ngumu ya ABC katika michezo 2-1. Kwa ushindi huo, timu hiyo itacheza na JKT katika mchezo wa nusu fainali, na mchezo huo utatangazwa baada ya mashindano ya Majeshi (BAMATA) kumalizika. JKT katika mchezo…