
Yanga yaitega TP Mazembe Dar
YANGA inafahamu kuwa ina dakika 270 sawa na mechi tatu ili kuamua hatma ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Ili hilo litimie, kazi kubwa iliyopo ni kuhakikisha mchezo wa Jumamosi, wiki hii dhidi ya TP Mazembe ni lazima kushinda ili kufikisha pointi nne ambazo zitazidi kuipandisha juu kutoka ilipo. Hiyo…