
Wahuthi wanaendelea kuwa mwiba kwa Israel – DW – 01.01.2025
Pamoja na makundi ya wapiganaji wa Kipalestina, Hamas na Hezbollah ya Lebanon, kudhoofika baada ya zaidi ya mwaka mmoja wa vita, na kuanguka kwa Bashar al-Assad nchini Syria kuondoa kiungo muhimu katika “mhimili wa upinzani” wa Iran dhidi ya Israel, waasi wa Kihuthi wameibuka kuwa tishio la karibu zaidi kwa usalama wa Israel. Kundi hilo…