
Wasira asimulia jinsi Werema alivyochangia upatikanaji wa rasimu ya Katiba
Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe nchini, Steven Wasira amezungumzia mchango wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Frederick Werema katika rasimu ya Katiba iliyopendekezwa mwaka 2014. Wasira ameyasema hayo leo Jumatano Januari 1, 2025 alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Werema aliyefariki dunia Desemba 30, 2024 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Wasira amesema…