
Waendesha baiskeli Geita watembezwa kuangalia mradi wa bilioni 4.450
Serikali Mkoani Geita imeendelea kuwa kivutio kwa wakazi wa Mkoa humo hii ni Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kuleta kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni 4 kujenga shule ya wasichana ili kuondokana na changamoto mbalimbali za kielimu. Hayo yameelezwa na Mkuu wa wilaya ya Geita , Hashim Komba…