
Gusa achia yaitisha TP Mazembe
MSAFARA wa TP Mazembe unatua leo nchini tayari kukutana na Yanga katika mchezo ambao kila timu inataka kuweka hesabu sawa kufufua matumaini ya kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini Wakongomani hao kuna chabo wameipiga na kuwashtua. Baada ya kutambua ina ratiba ya kukutana na Yanga, mabosi wa Mazembe walituma mashushushu ili kupiga…