
Maajabu mwamuzi wa Yanga, TP Mazembe
YANGA inaingia kambini leo kuendelea na maandalizi kabla ya kukutana na TP Mazembe, Jumamosi Januari 4, lakini tayari imepewa mwamuzi wa bahati atakayeamua mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Idara ya mashindano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imewakabidhi waamuzi watatu kutoka Mauritius kusimamia sheria 17 kwenye mchezo huo wakiongozwa na…